August 31, 2018






Mkazi kutoka Mwanza Benson Grodian alibashiri michezo kumi na moja kwa shilingi 1000 na kujishindia shilingi 2,029,309 kutoka SportPesa.


Benson mwenye umri wa miaka 26 amesema fedha zake za ushindi ziliingia mara baada ya mchezo wa mwisho kukamilika.


 "Nilibashiri mechi kumi na moja kwa njia ya SMS nikaweka shilingi 1000 tu na nikajishindia shilingi 2,029,309 na fedha zangu ziliingia dakika tano tu baada ya mchezo wa mwisho" Alisema

 "Fedha hizi zimenisaidia kununua simu ya smartphone kwa kuwa nilikuwa na simu ya kitochi ambayo ilinipatia ushindi. Pia nitazitumia kuongeza kipato changu cha biashara ya kuuza viatu ninayoifanyia hapa Mwanza mjini stendi ya Zuberi, nawashauri watu wote tutumie hii fursa kwa kuwa fedha zipo SportPesa" Aliongeza

 Kampuni ya ubashiri wa michezo ya SportPesa imeendelea kujijengea umaarufu mkubwa kutokana na kuwa na odds bora kuliko makampuni yote, lakini pia malipo yake kwa washindi ni ya haraka, papo kwa hapo mara baada ya ushindi bila ya kuwa na mzunguko.


 SportPesa pia inahusisha watu wote hata wale ambao hawana jinsi ya kufikia mtandao kwani imewekwa njia ya kubeti kwa kutumia ujumbe mfupi wa maandishi yaani SMS kama alivyotumia mshindi wetu Ndugu Benson.


 Wakati huo huo Jackpot ya Sportpesa wiki hii imefikia shilingi mil 316,365,140 hii ikiwa ni Jackpot kubwa kuliko zote kwa mtu atakayebashiri michezo 13 tu kwa gharama ndogo ya shilingi 2000 tu.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic