HII ILIKUWA KABLA YA MECHI YAO, RUVU SHOOTING WAKIPASHA KABLA YA JIONI Kikosi cha Ruvu Shooting leo asubuhi kimefanya mazoezi katika Uwanja wa Sabasaba hapa Newala kikijiandaa na mchezo wa kirafiki jioni dhidi ya Tandahima City kwenye Uwanja wa Makonga.
0 COMMENTS:
Post a Comment