Liverpool imeanza na ubabe katika Ligi Kuu England kwa kuilaza West Ham United kwa ushndi wa mabao 4-0.
Katika mechi hiyo iliyopigwa Uwanja wa Anfield, Liverpool imejipatia mabao yake kupitia kwa Sadio Mane aliyefunga mawili, Mohammed Salah na Daniel Sturridge.
Tazama picha zaidi hapa
0 COMMENTS:
Post a Comment