August 16, 2018


Wasanii wa Tanzania wameshindwa kufanya vizuri safari hii kwenye tuzo za Afrima 2018.

Wasanii waliochaguliwa ni staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz Diamond, Raynanny pamoja na Harmonize wote wapo katika kipengele cha Best Male Artiste in Eastern Africa.

Kwa upande wa wasanii wa kike, Maua Sama amechaguliwa kipengele cha Best Female Artiste in Eastern Africa.

Alikiba na Vanessa Mdee ni kati ya wasanii ambao wamekuwa wakitajwa mara kwa mara lakini mwaka huu wameshindwa kufurukuta kabisa.





1 COMMENTS:

  1. Ingependeza Mbosso, Aslay, Beka Flavor, Nandy,Vanessa Mdee (TZ) Jose Chameleone Uganda) wangekuwemo.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic