September 19, 2018


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Crayton Chipando maarufu kwa jina la Baba Levo ameachiwa huru na mahakama ya hakimu mkazi Kigoma leo  Jumatano, Septemba 19, 2018.

Baba Levo alikuwa akikabiliwa na mashtaka matatu ya kushambulia, kufanya vurugu na kutoa lugha ya matusi dhidi ya muuguzi Christina Gervas wa Zahanati ya Msufini.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic