HALIMA MDEE AMJIBU PROF. KABUDI, ‘AVURUGA TENA BUNGE’ – VIDEO
Mbunge wa Kawe (Chadema) Halima Mdee, amesimama Bungeni leo katika mkutano wa 12 na kuchangia hoja katika katika mjadala unaohusu Sheria ambao ulitolewa ufafanuzi jana na Waziri mwenye dhamana ya Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi.
Jamaa unatuchanganyia siasa na mpira....vipi?eleweka.
ReplyDeleteJamaa unatuchanganyia siasa na mpira....vipi?eleweka.
ReplyDeletesio mbaya anaweza kuongeza page ya siasa na kuipa link sports na politics zote zina create news tu...
ReplyDelete