MATOKEO YA LIGI KUU BARA LEO SEPTEMBA 24, WABABE WA SIMBA WAZIDI KUTAMBA
Mechi za Ligi Kuu Bara zimeendelea tena leo kwenye viwanja kadhaa nchini.
Katika mechi zilizochezwa, Mbao ambao walitoka kuadhibu Simba wakiwa kwao CCM Kirumba Mwanza, wameendelea ushindi kwa kuifunga bao 1-0.
Aidha, Stand United nayo imefanikiwa kuirarua Ndanda FC kwa mabao 3-1.
Wakati huo Mtibwa Sugar nayo imefanikiwa kuilaza African Lyon Uwanja wa Uhuru kwa mabao 2-0.
0 COMMENTS:
Post a Comment