September 10, 2018


Kocha wa timu ya Soka ya Yanga Noel Mwandila amesema ametoa nafasi kwa wachezaji wadogo katika kikosi kikosi hicho ili kusudi kujuwa viwango vyao.

Mwandila amesema ameamua hivyo ili kuwapa nafasi zaidi, japo hata hivyo ameeleza kuwa mechi ya jana ilikuwa nikuwatengeneza wachezaji wake katika msimu wa ligi kuu Tanzania Bara.

Yanga ilishuka jana kukipiga na African Lyon kwenye Uwanja wa Taifa Dar na kuibuka na ushindi wa bao 1-0.

Ligi kuu Tanzania bara imesimama kupisha michezo yakimataifa ambayo inaendelea huku Yanga ikishuka dimbani leo ikicheza na Afrikan Liyon ilikuimarisha kikosi chake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic