RATIBA YA MECHI 11 ZIJAZO ZA YANGA KATIKA LIGI KUU BARA, 7 KUPIGWA TAIFA
Ratiba ya mechi 11 za Yanga zijazo za Ligi Kuu Tanzania Bara.
Ratiba hii inaonesha Yanga watakuwa na jumla ya mechi 7 nyumbani na 4 ugenini.
Yanga SC vs Stand United
Yanga SC vs Coastal Union
Yanga SC vs Singida United
JKT Tanzania vs Yanga SC
Simba SC vs Yanga SC
Yanga SC vs Mbao FC
Yanga SC vs Alliance FC
KMC FC vs Yanga SC
Yanga SC vs Lipuli FC
Yanga SC vs Ndanda FC
African Lyon vs Yanga SC
Duuh wamependelewa gem zote 11 atakuwa kwa mchina AkA uwanja wa taifa
ReplyDeleteRatiba imepangwa ili Yanga wapate pesa za kulipa deni la TFF sio ili kuwe na fair play. Maendeleo ya mpira wa Tanzania kwa uongozi wa namna hii ni ndoto.
ReplyDeleteJikumbushe mwaka Jana Simba alicheza ngapi Taifa kisha akatoka kumbukumbu ni muhimu.
DeleteJikumbushe mwaka Jana Simba alicheza ngapi Taifa kisha akatoka kumbukumbu ni muhimu.
DeleteKumbukumbi ni muhimu lakini hazikuwa saba mfululizo...
Deletembona kipindi ratiba inatoka mwanzoni nilisikia kocha wa yanga analalamika kwamba samba inapendelewa na tff kupangiwa mechi tatu za mwanzo nyumbani kumbe ilikua kinyume chake eti?
ReplyDeleteDaaaah tunaiombea timu yetu yanga iweze kufanikiwa
ReplyDelete