SOUDY BROWN ALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI KISUTU LEO - VIDEO
Watangazaji wa Clouds Media, SoudyBrown, Shaffih Dauda, msanii Maua Sama, mpigapicha, MX, mshereheshaji MC Luvanda na watuhumiwa wengine wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Septemba 24, 2018, kwa ajili kusomewa mashitaka yanayowakabili.
0 COMMENTS:
Post a Comment