BREAKING NEWS: MAMBOSASA ATHIBITISHA MO DEWJI KUPATIKANA – VIDEO
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha Mfanyabiashara Bilionea Mohamed Dewji maarufu kwa jina la Mo Dewji amepatikana na Dewji mwenyewe amezungumza.
Mfanyabiashara Mohamed Dewji maarufu kwa jina la Mo Dewji akiwa na Kamanda Mambosasa.
“Namshukuru Mwenyezi Mungu nimerudi salama nyumbani. Nawashukuru Watanzania wenzangu na watu wote kote duniani kwa dua na sala zao. Nashukuru mamlaka zote, ikiwemo Jeshi la Polisi, zilizofanya kazi ya kuhakikisha narudi salama.” — Mohammed Dewji
Kipande cha video kinachothibitisha kupatikana kwa Mo Dewji alfajiri ya leo.
Twende tukamilishe yakwetu...hili lisiishie hapa maana tutaonekana bado wanatuweza na kutumudu.
ReplyDelete