huyu kocha bwana muda mwingine smart muda mwingine hovyo huu mfumo wa kuchezesha washambuliaji watatu unatusumbua sana kwani simba ni mshambuliaji mmoja ndio anaweza kucheza kama msaidizi wa mwenzie na kurudi pia kucheza kama kiungo lakini waliobakia wote ni watu wakutengenezewa na wavivu kukaba hapohapo tumepunguza idadi ya viungo, ngoja tucheze kwasababu ni mechi rahisi kiasi.
Kikosi kipo njema xana I lucky each an gang a zaidi mkude atabadilishana Na Hasani dilunga a.k.a HD matokei ya haraka haraka Sumba 3 Ruvu shooting 0
ReplyDeletehuyu kocha bwana muda mwingine smart muda mwingine hovyo huu mfumo wa kuchezesha washambuliaji watatu unatusumbua sana kwani simba ni mshambuliaji mmoja ndio anaweza kucheza kama msaidizi wa mwenzie na kurudi pia kucheza kama kiungo lakini waliobakia wote ni watu wakutengenezewa na wavivu kukaba hapohapo tumepunguza idadi ya viungo, ngoja tucheze kwasababu ni mechi rahisi kiasi.
DeleteSijaona sababu ya book,okwi na mk14 kucheza pamoja itagharimu timu.
ReplyDeleteSijaona sababu ya book,okwi na mk14 kucheza pamoja itagharimu timu.
ReplyDeletena mwalimu alishasema amejaribu mfumo hauleti matokeo na ameachana nao sasa nashangaa leo tena.
Delete