Kikosi cha timu ya Simba ambacho kitaanza leo katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Stand United, Jumapili Oktoba 21, 2018, katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam saa 10:00 Jioni
Kikosi cha kwanza cha Simba dhidi ya Stand United leo jioni katika uwanja wa taifa. 1. Aishi Manula 2. Shomari Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Juuko Murshid 5. Pscal Wawa 6. Said Hamisi 7. Shiza Kichuya 8. Clatous Chama 9. Meddie Kagere 10. Mohammed Ibrahim 11. Emmanuel Okwi
cheer
ReplyDeleteleo simba imepanga beki katili kabisa
ReplyDelete