October 5, 2018





SportPesa imeendelea kukabidhi Bajaji kwa washindi ambao wametupia ubashiri na kuingia kwenye Droo ya Shinda Zaidi na SportPesa na wakati huu timu hii ya ushindi iliweka kambi Mwera wilaya ya Pangani mkoa wa Tanga .


Hapa ilikuwa ni zamu ya mshindi wa Droo ya Kwanza kabisa Bwana Ntale Rajabu ambaye tayari amekabidhiwa bajaji yake zoezi ambalo lilisimamiwa na Mkuu wa wilaya ya Pangani, Zainab Abdallah.


Akizungumza wakati wa kumkabidhi bajaji hiyo kutoka SportPesa mkuu wa wilaya `Pangani, Abdallah alisema walikuwa wakiisikia SportPesa lakini kwa macho sasa ameshuhudia inavyobadili maisha ya Watanzania baada ya kijana kutoka wilaya yake kushinda na hivyo kuwataka wananchi wa Pangani kucheza zaidi ili kupata washindi wengine zaidi.


"Leo tunashuhudia kwa macho baada ya Ntale kuwa mshindi kutoka hapa pangani naomba Hii iwe hamasa kwa wengine zaidi kucheza kwa sababu unaposhinda bajaj hii kutoka SportPesa ndio Mwanzo wa kubadili maisha tunawashukuru sana SportPesa kufanya mambo haya kwa vitendo na kwa uwazi mkubwa," alisema Bi Abdallah.


Kwa upande mwingine mshindi wa bajaji hiyo ya Droo ya Kwanza ya Shinda Zaidi na SportPesa, Ntale alishukuru sana kampuni hiyo ya michezo ya kubashiri hapa nchini kwa kueleza kuwa mwanzo hakuamini kabisa baada ya kuambiwa ameshinda lakini alipoona timu ya SportPesa imefika mpaka nyumbani kwao ikiongozwa na mkuu wa wilaya ndipo aliamini.


"Namshukuru sana Mungu kweli SportPesa wamebadili maisha yangu naenda kuufungua ukurasa mpya katika maisha yangu naamini bajaji itakuwa msaada mkubwa kwangu na familia yangu kwa ujumla" Alisema Rajabu.


Mama mzazi wa Rajabu nae anasema wakati mwanae anamwambia ameshinda na SportPesa hakuamini lakini baada ya kuiona Bajaji ndipo imani yake ilitimia na kuonyesha uso wa furaha kwa ushindi huo wa kijana wake 


Hii ni Fursa kwa Watanzania kutoka SportPesa na hii inatokea pale unapoweka ubashiri wako na SportPesa moja kwa kwa moja unaingia kwenye droo ya Bajaj ni kwa kutumia simu yeyote ya mkononi unapiga *150*87# au unacheza kupitia tovuti www.sportpesa.co.tz. kumbuka ili ucheze ni lazima uweke pesa kwenye akaunti yako ya SportPesa namba ya kampuni ni 150888 na kumbukumbu namba ni 888 unapocheza mara nyingi zaidi ndio unaongeza nafasi ya kushinda.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic