October 19, 2018


Kiungo mshambuliaji wa timu ya Simba Said Ndemla ameacha kufanya mazoezi na  kikosi cha wakubwa kilicho chini ya Mbelgij Patrick Aussems na ameanza mazoezi Simba B  uwanja wa Kinesi.

Kocha wa Simba B ,Niko Kihondo amesema kuwa kikubwa ambacho anakifanya Ndemla ni kuongeza uwezo wake  ili aweze kupata nafasi  timu ya wakubwa .

 " Anajiongeza uwezo wake  kwa kuwa anafanya mazoezi  ili aweze kuongeza makali yake,bado ana uwezo wa kufanya makubwa taratibu anarejea kwenye katika ubora wake"alisema .

5 COMMENTS:

  1. Kukosa kujiamini ndiko kunako msumbua Ndemla.Asitarajie kuaminiwa na Mbeligiji kama yeye mwenyewe Ndemla atashindwa kujiamini. Kitendo cha kujipeleka kikosi cha pili ni kosa kubwa na atalijutia baadae. Kukimbia changamoto sio dawa ya kuitatua changamoto hiyo bali ni kukubali kuelemewa na changamoto zaidi. Kusimama kidete na kukabiliana na changamoto mwanzo mwisho ili kuitafutia ufumbuzi ni ndio njia pekee ya kuyatawala mazingira husika yawe kazi au maishani. Ndemla mlaini na pengine labda hana washauri wazuri wanaomuongoza kwani yeye na Feisali wa Yanga wamepishana nini?

    ReplyDelete
  2. ndemla alitakiwa aende yanga angepata nafasi ya kucheza

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yanga??...kwa pesa gani ya kumlipa?

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic