October 13, 2018


Baada ya kuahirisha mazoezi jana kufuatia tukio la kutekwa kwa mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'MO' timu hiyo imerejea mazoezini japo kinyonge ili kuendelea kujiandaa na mechi za ligi kuu zitakazo lejea wiki ijayo

Kocha wa timu hiyo Patrick Ausems amesema kitendo cha MO kupotea katika mazingira yakutatanisha kimewashitua si wao kama timu bali ni watanzania wote, kwa sababu si kitendo cha kawaida.

Naye Nahodha Msaidizi wa timu hiyo Mohamed Hussein amesema wanamuombea boss wao arejee salama lkutoka huko aliko, huku akikiri kua morari ya timu imeshuka sana kutokana na kitendo hicho.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic