BALOZI WA TANZANIA LESOTHO AKUTANA NA STARS, MWAKYEMBE NDANI
Pichani juu ni Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe akiwa na Balozi wa Tanzania Kusini mwa Afrika Sylvester Ambokile na Kaimu Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athuman Nyamlani wakiwa na wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na benchi la Ufundi leo kwenye Kambi ya timu hiyo iliyopo Avani Lesotho Hotel.
Stars inashuka dimbani leo kucheza na Lesotho ikiwa ni safari ya kuwania kushiriki mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani huko Cameroon.
0 COMMENTS:
Post a Comment