November 22, 2018


Bao alilofungwa mlinda mlango wa kimataifa kutoka nchini Congo, Klaus Kindok na Salum Aiyee limemfanya apoteze furaha na kutokwa machozi baada ya kutolewa nje.

Kindoki amefungwa bao dakika ya 40 baada ya kuutema mpira uliopigwa na Salum Ilamfya na kumalizwa kwa guu la kulia na Aiyee.

Kocha Mkuu Mwinyi Zahera amefanya mabadiliko na kumtoa Kindoki kipindi cha pili nafasi yake kuchukuliwa na Ramadhani Kabwili.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic