HAJI MANARA AUWASHA MOTO BALAA KWA WANACHAMA NA WACHEZAJI YANGA
Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara, kupitia ukurasa wake wa Instagram ameposti picha inayoonesha matokeo ya kipindi cha kwanza ya mchezo uliopigwa jana katika Yanga SC na African Lyon na kuandika yafuatayo.
"Hivi nilichoandika jana kinahitaji Elimu ya kiwango gani kujua ujuha wa uzumbukuku? Very simple and Ise kuwajua Malebo!
Ni rahisi zaidi kuwatambua Chavichavi kuliko kuwajua Mapacha wa kichina!
"Okey,huku nilipo ni Jumapili na sasa hv ni usiku wa manane,najua huko ni Jumatatu na sasa hv ni Alfajiri Jumapili njema kwa hisani ya Omba Omba Rangers"








TFF na Serikali kupitia Wizara na BMT na akina Mzee Akilimali (na wanaomtumia) msiivuruge amani ya nchi kwa kuchochea vurugu....Sauti ya Umma na Sauti ya Wengi ni sauti ya Moyo....kama Wanachama wa Yanga (Bara na Visiwani) wanampenda, na wamesema, na wameridhia, na Yeye amejibu kwa maandishi, na wamefuata taratibu na kanuni zote za katiba yao....Wasikilizeni kwani ndio hali halisi lazima ukubali, uchaguzi ufanyike kwa kujaza nafasi za M/Mwenyekiti, wajumbe 4....kufanya kinyume na hapa....ni kumkosea sio tu wananchi bara na Visiwani....(kwani historia na sura halisi ya klabu hii inaakisi umoja wa Kiafrika....kwani sio th ndio klabu kongwe na ya kwanza kuanzishwa wakati ule wa Tanganyika 1935 mwezi 2)....bali pia Mungu....(kwani ni sauti ya wanyonge)
ReplyDeleteSerikali (Wizara & BMT) na TFF, na Mzee Akilimali mnaweza mkasababisha damu kumwagika......ni tahadhari....kwani hoja ya msingi ni kwamba kwanini Simba haiingiliwa? Kwanini Serikali, BMT na TFF mmekuwa PARTIAL KATIKA SUALA LA UCHAGUZI HAMKUFANYA HIVYO KWENYE UCHAGUZI WA SIMBA....ILA WA YANGA MMEUINGILIA???...Mnajenga chuki. na kuleta uhasama kwa mioyo ya watanzania wanyonge wanaoupenda mpira wa miguu (Yanga ina waasisi wa uhuru wa Tanganyika na Mapinduzi ya Zanzibar....na ndio maana Wanachama wake wako imara sehemu hizi 2 za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania)....mke wa Hayati Karume kule Zanzibar ni mmoja wa wajumbe wa baraza la wadhamini la Young Africans Sports Club)...kwa hiyo kugusa na kuivuruga klabu kama hii...ni kuchochea kuvurugika kwa utulivu na amani ya nchi. Nchi ina mambo ya msingi ya kujikita nayo kuliko kuiingilia matatizo ya vilabu vya Yanga na Simba....waacheni waendelee kama wanasema Mwenyekiti wao bado yuko madarakani....kwenda kinyume na hili kunasababisha maswali kulikoni huko????
ReplyDeleteYani Yanga nidio ivurugu amani ya nchi? Kivipi? Mimi sikuelewi, hiyo si klabu ya michezo tu? Unadhani watu wote ni wapenda mpira wa miguu? Kwanza lazima uelewe, waziri anachotaka ni utaratibu ufuatwe tu. Sio leo umechaguliwa, halafu unaandika barua kusema umejiuzuru na unaamua kukaa pembeni kisha unasubiri muda unaotaka wewe unarudi na kusema nimekuja kukaa ofisini. Hakuna kitu cha hivo hata kama una hela zako. Yanga ni taasisi inaweza ikijipanga ikajiendesha hata na wala haiwezi kushuka daraja. Japo kweli hainaweza kupata ugumu kuchukua ubingwa na kushiriki. Lakini mafanikio yeyote yanakuja polepole sio kuendekeza kunyanyaswa na tajiri kama huyo. Mzee Akilimali anaona mbali sana, na Ujiji hatoki mtu asiyefikiri critically. Hongera mzee umeonesha unajua mambo mengi sana kuhusu yanga.
ReplyDelete