November 19, 2018




Beki Shomari Kapombe wa Simba amepelekwa jijini Cape Town kwa ajili ya vipimo baada ya kuelezwa ameumia enka sana.

Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Swedy Mkwabi ametoa kiasi cha fedha kwa ajili ya matibabu ya Kapombe ambaye alikuwa katika timu ya taifa.

Kapombe aliumia katika kambi ya Stars ikiwa nchini Afrika Kusini kujiandaa na mchezo dhidi ya Lesotho.

Kapombe aliikosa mechi hiyo kutokana na kuumia huko na sasa analazimika kukaa nje akisubiri suala hilo la matibabu.

1 COMMENTS:

  1. Hivi mchezaji anapo umia akiitumikia stars inakuwaje club ndo iingie gharama za matibabu?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic