November 19, 2018





Yanga wamesema wako tayari kwa ajili ya mechi yao dhidi ya Mwadui FC.

Mratibu wa Yanga, Hafidh Saleh amesema baada ya mechi yao na Namungo FC kujiandaa na mechi zake za ligi kuu, sasa wako tayari.

"Tunakwenda Shinyanga badaa ya maandalizi. Mechi dhidi ya Namungo ilikuwa ni sehemu ya programu ya kocha," alisema.

"Alitaka wakati wa mapumziko ya mechi za kimataifa, tuwe na mechi za kirafiki ili kujiweka sawa," alisema.

Yanga iko katika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 26 huku ikiwa imecheza mechi 10.


1 COMMENTS:

  1. Kuna mtandao umesukwa kutokea Serikalini, Wizarani, Magazeti, waandishi wa Habari, BMT na TFF, Body ya Ligi na baadhi ya wanachama maarufu wa Yanga, kwa lengo la KUIHUJUMU NA KUIDHOOFISHA YANGA....mfano Uchaguzi angalia mchakato mzima....kabla, na wakati wa uchaguzi wenyewe. Angalia kwenye mechi ya kirafiki Namungo njoo kwenye wachezaji wa Timu za Taifa (u23 na Taifa Stars) hawajaripoti kambi ya Yanga kwenda kucheza mechi na mwadui...Bodi ya Ligi ingesogeza mechi yao ili kuruhusu wachezaji wao wajiunge na timu hawakufanya hivyo....ila Simba wameruhusiwa. Ukija kwenye mchakato wa ratiba za mechi zilizopangwa na bodi ya ligi....njoo uangalie sarakasi za uchaguzi...Swali Kwanini kakolanya, Yondani, ninja, kabwili na Paulo Godfrey hawatajiunga na Timu ili kuwahi mechi na Mwadui. Wenye akili tushajua hili...

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic