Ball possession? Umbiliki wa Mpira? Mpaka half time Lesotho walimiliki kwa asilimia 62 dhidi ya sisi TZ asilimia 32. Jamani tatizo ni KOCHA. Upangaji mbaya wa wachezaji, kuchelewesha kufanya mabadiliko ya wachezaji uwanjani, hivyo vyote vimetugharimu.
KOCHA, KOCHA, KOCHA, KOCHA! UMETUPA KAZI KUBWA SANA! UMETUSABABISHA JANA TUSTAHILI KUFUNGWA WEWE! YANI GHARAMA ZOTE ZILIZOTUMIKA TUMEAMBULIA KUPIGWA! KOCHA KOCHA KOCHA, SINA UWEZO WA MAAMUZI TU IWEJE KWAKO, ILA..................
Ball possession? Umbiliki wa Mpira? Mpaka half time Lesotho walimiliki kwa asilimia 62 dhidi ya sisi TZ asilimia 32. Jamani tatizo ni KOCHA. Upangaji mbaya wa wachezaji, kuchelewesha kufanya mabadiliko ya wachezaji uwanjani, hivyo vyote vimetugharimu.
ReplyDeleteNdiyo sabab kubwa tuu
DeleteHuwez chezesha beki 6 viungo wakabaji 2 wafungaji wawili, alafu unadai ushinde, tafsiri yaake ni kwamba UNAPUNGUZA IDADI YA MAGOLI TU, na sio kwenda kusuluhu, kusale wala kushinda. Yaan unafungwa alaf ndo unaacha kudefend unaanza kushambulia haiwez kuwa sahihi "MTAZAMO WANGU" afadhal ya 4:3:2:1 hao watatu (3) defensive midfilder, wawili (2) kiungo wa juu mmoja (attacking mildifielder) na staiker alafu huyo mmoja wa mbele acheze boko KHERI, SONSO, MORIS, YONDAN, viungo NYONI, MDATHIRI/feical, HIMID, wawil KICHUYA/MSUVA na CHILUNDA finisher BOCCO game imeishaa
ReplyDeleteKOCHA, KOCHA, KOCHA, KOCHA! UMETUPA KAZI KUBWA SANA! UMETUSABABISHA JANA TUSTAHILI KUFUNGWA WEWE! YANI GHARAMA ZOTE ZILIZOTUMIKA TUMEAMBULIA KUPIGWA! KOCHA KOCHA KOCHA, SINA UWEZO WA MAAMUZI TU IWEJE KWAKO, ILA..................
ReplyDelete