November 18, 2018




Yanga imeshindwa kuifunga Namungo FC ya Lindi katika mchezo wake wa kirafiki uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Erick Majaliwa mkoani huko baada ya kutoka sare ya bao 1-1.

Katika mchezo huo, Yanga ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao la kwanza kupitia kwa beki wake, Andrew Vicent ‘Dante’ katika dakika ya 21 kabla ya Lusajo kusawazisha dakika ya 86.

Yanga imeutumia mchezo huo kwa ajili ya maandalizi ya mechi yake ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mwadui FC itakayopigwa kwenye Uwanja wa Kambarage Mkoani Shinyanga.

1 COMMENTS:

  1. Tafadhali Mhariri angalia post yako si uwanja wa Erick Majaliwa!!!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic