BAADA YA KIPIGO, HASSAN KESSY ASEMA SIMBA WALIBEBWA NA MWAMUZI
Baada ya kupigwa mabao 3-1 katika Uwanja wa Taifa jana kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, beki wa kulia wa Nkana Red Devils, Hassa Kessy, amesema Mwamuzi alikuwa amelalia upande wa wapinzani wao Simba.
Kessy ambaye aliwahi kucheza soka Simba na Yanga, amefunguka kuwa Mwamuzi huyo hakuzimudu dakika 90 kwa kuchezesha vizuri jambo ambalo lilipelekea Simba wakapata matokeo.
Kwa mujibu wa Radio One kupitia Spoti Leo, Kessy alieleza Simba waliwamudu vizuri lakini mwisho wa siku matokeo ya mchezo yalijitokeza wakipoteza.
Aidha, alisema kuwa walipata nafasi nyingi za kufunga na zikashindwa kuleta mafanikio badala yake wakashindwa kuzitumia vizuri.
Nkana sasa imeshuka mpaka kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika ambapo wataanza rasmi maandalizi ya kujiandaa na mechi za mashindano hayo mapema baada ya kurejea kwao Zambia.
Mwamuzi kawabeba vipi Simba wakati hata Goli la Nkana ni la utata kwani Bwalya alikuwa tayari yupo kwenye offside position. Refa akawamyima Simba penati ya wazi wakati Kagere ipoangushwa ndani ya boksi. Ukiangalia rafu walizokuwa wakifanya Nkana ni jambo la kushangaza kumaliza mchezo bila mchezaji wao kupata kadi nyekundu. Simba wametengeza nafasi kadhaa za kufunga kuliko Nkana huko kessy anaposema waliwamudu Simba ni kwa vigezo gani?
ReplyDeleteMwamuzi aliwabeba Nkana mechi ya kwanza iliuyofanyika Kitwe..Hiyo dogo ni mshenzi na msaliti...Na magoli yote ya mechi ya mwisho Taifa stars yalipitia kwake..Kitu kimoja Yanga walifanya cha kufurahisha ni kumdanganya mpaka dakika ya mwisho halafu wakamtosa bila ya mkataba...Msaliti husalitiwa!
ReplyDeleteAcha jazba na chuki za kijinga so ulitaka awe mzalendo aishangilie simba?
DeleteMkuu unaonekana una chuki za kijinga.Jana tuliwaona w8enye chuki za kijinga na roho chafu wakiwashangilia kwa bidii Nkana Baada ya kuwa wamepata bao la kuongeza.
DeleteWEWE MWAILOLO NDO MJINGA WA WAJINGA.. Endeleeni kupambana na njaa yenu!! Kessy ni mjinga na hasidi mkubwa hafai kuwa Mtanzania km mashabiki wote wa Yanga msivyo na akili..
DeleteWewe Hassan wacha maneno yasiyokuwa na uzito dhidi ya timu iliyokulea na ukala heri zake. Kocha wako hakutamka unayoyatamka wewe na badala yake kwakuwa yeye ni muungwana alimshauri kocha wa simba kurekebisha sehemu za ulinzi ili yimu izidi kufanya makubwa na hii inatokana na usafi wa roho yake kinyuma nawe. Wewe Ilibidi kuipa hongera yimu iliyokulea na kukuza kiwango chako na kufika ulipofika
ReplyDeletehaya maneno siyo ya hassani . Huyu mwandishi humjui nini?
DeleteKessy acha uswahili. Nilitegemea akili imekua. Bora urudi bongo tu kama akili imegoma kuwa pro
ReplyDeleteKessy ni mjinga sana.Bora abaki huko na asiitwe tena Taiga..Magoli yote ya Taifa stars dhidi ya Lesotho yalipitia kwake
ReplyDeleteKesi ni bwege abakie hukohuko hajuii kama Simba ndiyo imemfikisha hapo sasa namajigambo yake amekiona cha motooooo
ReplyDeleteKweli kesi ni boya he can not know good for nothing.
ReplyDeleteKweli kesi ni boya he can not know good for nothing.
ReplyDeletempira mbinu Kessy bado anaulimbukeni
ReplyDeleteHiyo ndo level yao mengine yote ni maneno tu.kwanza hao Nkana wanacheza ligi ya mabingwa wakati wao sio bingwa wa zambia wasijione wako juu
ReplyDeleteBora achukue mikoba ya Mbelgiji manaake eti sasa anaitakia mema simba baada ya kutamka kuwa simba ilipendelewa. Kina Nkana walikutegemea wewe lakini umewaangusha. Masikini roho yako
ReplyDelete