December 25, 2018


Basi la mwendokasi mchana wa leo limewaka moto katika Injini yake maeneo ya Ubungo kituo cha Ubungo Maji jijini Dar es Salaam ambapo zimamoto walitokea na kufanya shukhuli za uzimaji.

Polisi wamefika katika eneo hilo na kutoa taarifa ya madhara yaliyotokea katika tukio hilo sambamba na kueleza chanzo halisi cha tukio hilo lililozua taharuki kwa abiria wa magari hayo na wakazi wa jijini Dar es salaam.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic