December 25, 2018


Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Ulimwengu amejiunga na klabu ya Js Saoura ya Algeria.

Ulimwengu amefikia makubalino na timu hiyo kwa kusaini mkataba wa miaka miwili kama mchezaji huru baada kuvunja mkataba na klabu ya Al Hilal ya Sudani.

Nyota huyo Mtanzania alivunja na klabu ya Al Hilal baada ya kuona kuba baadhi ya mambo yalikuwa hayaendi sawa baina yake na mabosi wake.

Js Saoura aliyojiunga nayo Ulimwengu imefuzu kucheza makundi ya klabu bingwa barani Afrika maarufu kam CAF Champions League.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic