December 26, 2018





Mbunge wa Songea Mjini na Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt Damas Daniel Ndumbaro, akishiriki chakula cha mchana siku ya Christmas tarehe 25 Desemba 2018, kwa Mama Ntilie katika soko la Manzese, Songea Mjini.

Ndumbaro ambaye ni mwanamichezo maarufu nchini amekuwa maarufu zaidi kutokana na ukaribu wake na wananchi wa maisha ya kawaida.

Mara nyingi amekuwa akionekana kushiriki katika maeneo mbalimbali yanayohusisha wananchi hao.

.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic