December 29, 2018

Ali Kiba au mwite King Kiba, jana Desemba 28, 2018 amezungumza na wanahabari kuhusiana na shoo anayotegemea kufanya siku ya leo Desemba 29, 2018 Club next door Masaki.

Akiongea na waandishi wa habari Ali kiba ametaja wasanii anaotamani kufanya nao kazi huku akizungumzia uwezo wa Barnaba jukwaani.

MSIKILIZE HAPA AKIFUNGUKA JUU YA TAMASHA LAKE CLUB NEXT DOOR NA KUHUSU HALI YA OMMY DIMPOZ


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic