VIDEO: MADARAKA SELEMANI ATUMA MESEJI SIMBA
Nyota wa zamani wa klabu ya soka ya Simba na timu ya taifa ya Tanzania Madaraka Sulemani amewataka wachezaji wa Simba kujianda kiakili pindi watakapo kutana na vilabu vikubwa barani Afrika ambavyo vimepangwa katika kundi mmoja.
Hata hivyo Madaraka amesema anakiamini kikosi cha cha sasa kuwa nikikosi kikubwa na pindi kitapo ingia katika mashindano hayo ya CAF Itafanya vizuri licha yakukosekana kwa muda wa miaka 15 katikamashindano ya vilabu bingwa barani Afrika.








0 COMMENTS:
Post a Comment