VIDEO: ALIKIBA NA KUNDI LAKE WAFANYA MAUAJI VIWANJA VYA POSTA DAR
Mwanamuziki bab’kubwa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’, usiku wa kuamkia leo amefanya shoo ya aina yake akiwa na kundi lake katika Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lootee katika Viwanja vya Posta, Kijitonyama, Dar es Salaam, ambako mashabiki walisuuzika roho zao ipasavyo kutokana na shoo hiyo kuwa ya viwango vyote.
0 COMMENTS:
Post a Comment