KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA WAARABU HIKI HAPA, JUUKO MURUSHID AANZA LEO, NI MOTO BALAA Kikosi cha Simba kitakachocheza leo dhidi ya JS Saoura, mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
asante sana kocha leo sina cha kusahihisha kikosi imara
ReplyDeleteSafi sana Juuko Murshid....alishachelewa kocha kuwa anamuanzisha!
ReplyDeleteMkshnda nahama
ReplyDeleteHAMA SASA WEWE BINADAMU. 3G HIZO UMEZIONA. ONDOKA NCHINI SASA!!!
DeleteDu kama umetimiza ahadi yako maana yake tumepoteza mtanzania mmoja sababu ya ubishi. Natumai umeshahama nchi kwa kuwa simba alishinda 3G
DeleteCombination ya chama na Dirunga ni nzur xana
ReplyDeletemungu ibariki simba
ReplyDelete