Mashabiki wa Yanga mnaidhalilisha nchi kushangilia wageni ni mara mia bora mkaae nyumbani kuliko kuja uwanjani na kushangilia mwishoni aibu inawakuta Simba itashinda tu....huu ni mkakati (TFF, Simba wanachama, wageni, Serikali kuu, serikali ya mkoa na Jeshi la Polisi na wadhamini au wawekezaji wa klabu ya Simba) pointi 9....kwa mchina lazima....nguvu moja....ni kauli mbiu kwa vitendo....
Simba inaweza bhana! hilo lazima tulikubali. Hata wale jamaa zetu wa upande wa pili jana walikuja Taifa wakiwa na mabango yameandikwa "NO YOU CANT, SAOURA IS KISIKI CHA MPINGO", wale jamaa hata sikuwaona tena na bango lao! sijui walitokea mlango gani! nadhani hata kujuta walijuta juu ya muda na gharama walizotumia kuliandika bango lile!. Itawabidi mpende tu sasa, soka safi mmeliona tena la burudani, na bado magoli mmeyaona yote ni magoli ya akili na ya mateso makubwa kwa wapinzani. kubalini tu jamani.
Mashabiki wa Yanga mnaidhalilisha nchi kushangilia wageni ni mara mia bora mkaae nyumbani kuliko kuja uwanjani na kushangilia mwishoni aibu inawakuta Simba itashinda tu....huu ni mkakati (TFF, Simba wanachama, wageni, Serikali kuu, serikali ya mkoa na Jeshi la Polisi na wadhamini au wawekezaji wa klabu ya Simba) pointi 9....kwa mchina lazima....nguvu moja....ni kauli mbiu kwa vitendo....
ReplyDeleteSimba inaweza bhana! hilo lazima tulikubali. Hata wale jamaa zetu wa upande wa pili jana walikuja Taifa wakiwa na mabango yameandikwa "NO YOU CANT, SAOURA IS KISIKI CHA MPINGO", wale jamaa hata sikuwaona tena na bango lao! sijui walitokea mlango gani! nadhani hata kujuta walijuta juu ya muda na gharama walizotumia kuliandika bango lile!. Itawabidi mpende tu sasa, soka safi mmeliona tena la burudani, na bado magoli mmeyaona yote ni magoli ya akili na ya mateso makubwa kwa wapinzani. kubalini tu jamani.
ReplyDelete