Simba inaweza bhana! hilo lazima tulikubali. Hata wale jamaa zetu wa upande wa pili jana walikuja Taifa wakiwa na mabango yameandikwa "NO YOU CANT, SAOURA IS KISIKI CHA MPINGO", wale jamaa hata sikuwaona tena na bango lao! sijui walitokea mlango gani! nadhani hata kujuta walijuta juu ya muda na gharama walizotumia kuliandika bango lile!. Itawabidi mpende tu sasa, soka safi mmeliona tena la burudani, na bado magoli mmeyaona yote ni magoli ya akili na ya mateso makubwa kwa wapinzani. kubalini tu jamani.
mimi ni shabiki wa yanga ninayeishi nchi za kiarabu kusema kweli hii tabia ya kushangilia timu pinzani zinapokuja kucheza Tanzania hua zinaniudhi sana na hii ni tabia ya washangiliaji wa timu zote mbili SIMBA na YANGA kwa hiyo muache ushamba huo NA SI UZALENDO maana hapa tunachekwa sana na wamisry na mataifa mengine kwa kufanya kitendo kama hicho ambacho huwezi kukiona kwa timu za wenzetu. HAPA TIMU YOYOTE YA WATANZANIA INAPOFUNGWA TUNAOZOMEWA NI SISI WATANZANIA SABABU HAO NI WAWAKILISHI WA TANZANIA
Simba inaweza bhana! hilo lazima tulikubali. Hata wale jamaa zetu wa upande wa pili jana walikuja Taifa wakiwa na mabango yameandikwa "NO YOU CANT, SAOURA IS KISIKI CHA MPINGO", wale jamaa hata sikuwaona tena na bango lao! sijui walitokea mlango gani! nadhani hata kujuta walijuta juu ya muda na gharama walizotumia kuliandika bango lile!. Itawabidi mpende tu sasa, soka safi mmeliona tena la burudani, na bado magoli mmeyaona yote ni magoli ya akili na ya mateso makubwa kwa wapinzani. kubalini tu jamani.
ReplyDeletemimi ni shabiki wa yanga ninayeishi nchi za kiarabu kusema kweli hii tabia ya kushangilia timu pinzani zinapokuja kucheza Tanzania hua zinaniudhi sana na hii ni tabia ya washangiliaji wa timu zote mbili SIMBA na YANGA kwa hiyo muache ushamba huo NA SI UZALENDO maana hapa tunachekwa sana na wamisry na mataifa mengine kwa kufanya kitendo kama hicho ambacho huwezi kukiona kwa timu za wenzetu. HAPA TIMU YOYOTE YA WATANZANIA INAPOFUNGWA TUNAOZOMEWA NI SISI WATANZANIA SABABU HAO NI WAWAKILISHI WA TANZANIA
ReplyDelete