STRAIKA SIMBA AITIKISA CAF NA AFRIKA
Baada ya kufunga kwa mabao Jumamosi iliyopita kwenye mechi ya ligi ya mabingwa Afrika, Straika wa Simba, Meddie Kagere, amewafunika washambuliaji wenzake wote ndani ya Simba pamoja na wale wa vikosi vingine vya Afrika ikiwa anaongoza kwa kufunga mabao mengi tangu walipoanza kushiriki michuano hiyo ya Kimataifa.
0 COMMENTS:
Post a Comment