TAJIRI WA MAFUTA ATEKWA DAR / FAMILIA YATANGAZA DAU MIL.400 – VIDEO
Kigogo wa Kampuni moja ya mafuta jijini Dar es salaam, Dawson Ishengoma adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana mwaka 2018 wakati akirudi nyumbani kwake Masaki kutoka katika mihangaiko yake.
Kufuatia hali hiyo, familia yake imetangaza dau la shilingi milioni 400 kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwake.
CHANZO: GLOBAL PUBLISHERS
Ndio na huyu nae waseme katekwa na serikali ya Magufuli? Nchi hii ina wanasiasa wasenge wa akili sijapata kuona Duniani. Kule Norway Ulaya kuna mama mmoja mke wa billionea mmoja mkubwa katekwa sasa inaelekea kufikia mwezi wa pili huu hajapatikana. Tena afadhali ya hapa nyumbani baada ya kutekwa Mo watanzania waliarifiwa kila hatua nini kinaendelea. Lakini kule Norway maofisa wa usalama wa nchi ile waliuchuna kimya kwa madai ya kulinda faragha ya familia lakini baada ya kuona mambo magumu ya kumuokoa huyo mama kushindikana imewalazimu kuzisambaza taarifa za kutekwa kwa mke huyo wa billionea. Inaelezwa sababu kubwa ya kupelekea kutekwa mke huyo wa tajiri ni pesa,watu wanataka pesa.sasa nadhani hapa kwetu mke wa tajiri mkubwa atekwe halafu kusiwe na taarifa kwa kipindi cha mwezi mmoja basi watu kwa ujinga wa baadhi ya wanasiasa wetu lazima walishakwenda kukimbilia umoja wa ulaya. Hapa kwetu kuna wanasiasa kila tukio ni tukio la kisiasa tena ni dhambi za serikali wanasahau hii Dunia imekuwa ndogo kama kijiji linalotokea Marekani au China liwe zuri au baya linaweza kutokea wakati wowote hapa Tanzania. Wiki kadhaa kama si miezi zilisambaa picha chafu na mpaka leo tunavyozungumza zingali zimo kwenye mitandao ya kijamii zikionesha vijana wa kitanzania wakifirana laivu bila ya chenga? hivyo katika hali ya kawaida utategemea vitu kama hivi kufanyika nchini kwetu? Sio rahisi ila uwezekano wa watu kutenda uhalifu usiotarajiwa katika Dunia ya sasa ni mkubwa mno na serikali isiweze kufanya lolote lile. Si Marekani,si Uengerza,si China kuna matokeo kadhaa ya kihalifu yanatokea kila leo tena makubwa tu na serikali za nchi hizo haziwezi kuyazuia licha ya kuwa wapo vizuri sana kiusalama na kitaaluma. Suala la usalama wa nchi ni la wananchi wenywewe kuwa miongoni mwa watu wa usalama la sivyo tutailaumu serikali mpaka dunia itakwisha na ufumbuzi wa tatizo hautapatikana na tuachane na siasa za kijinga kwani kwa kiasi fulani kitakwimu ya matendo ya uhalifu katika nchi mabali duniani Tanzania ni miongoni mwa nchi salama sana Duniani ila katika mindset ya mzungu ni Kwamba mtu mweusi hana hadhi ya kupewa utukufu wa amani hata kama atakuwa hana tatizo lolote lile lakini baya zaidi kuna baadhi ya watu weusi au waafrika wamekuwa ndio chanzo kusimbika picha za hovyo zidi ya watu weusi au waafrika wenzao kutokana na tabia za waafrika hao kujipendekeza kwa wazungu au wakati mwengine hata kununuliwa ili kuzivuraga nchi za kiafrika kwa kisingizio cha democrasia lakini kiukweli ni kwamba ni ubaguzi mtupu.
ReplyDelete