January 20, 2019


Kiwanda cha Jambo Food Products Company Limited kinachojihusisha na uzalishaji wa vinywaji baridi ikiwemo soda, juisi na maji kimejichukulia umaarufu wa bidhaa zake bora ambazo zinapendwa na watu wa rika zote kutokana na uhalisia wake.

Kiwanda hicho ambacho kilizinduliwa na Rais Dkt. John Magufuli, Januari 13, mwaka 2017, ndivyo vinywaji vywenye radha murua kukufanya ujisikie fresh kabisa muda wote, hukupa nguvu na mzuka zaidi, afya bora na kukuburudisha.

Jambo wanazalisha na kusambaza vinywaji hivyo kwa jumla na rejareja, vipo vinywaji aina ya; Jambo Malta Lemon, Jambo Apple, Jambo Embe, Jambo Energy, Jambo Malta Pineapple, Jambo Lemon, Jambo Vito, Jambo Orange, Jambo Drinking Water na nyingine kibaooooo!

Kiwanda cha Jambo kipo Shinyanga Mjini.
Simu: +255622666692 au +255622666680
Email: info@jambogrouptz.net.

2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic