YANGA SASA KUONJA MACHUNGU YA LIGI, MECHI 5 MFULULIZO ZA UGENINI HIZI HAPA
Mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara kwa Yanga yawezekana uwaka mchungu zaidi ambapo moja ya mechi zitakazocheza ni hizi hapa
3/2/2019
Coastal Union vs Yanga - Tanga
6/2/2019
Singida vs Yanga - Singida
10/2/2019
JKT Tanzania vs Yanga - Tanga
16/2/2019
Yanga vs Simba - Taifa
20/02/2019
Mbao FC vs Yanga - Mwanza
Unaweza kutupa maoni yoyote juu ya ratiba hii?
Kukomoana
ReplyDeleteAkipita vihunzi hivyo bac yeye bingwa
ReplyDeleteKama atamfunga azam na Simba!
DeleteSafi kabisa sasa ndio Zahera atalalamika vizuri.Ligi ilipoaanza ratiba ya awali kabisa ilikuwa Yanga icheze Mara 3 mfululizo akalalamika eti wengine wanapendelewa
ReplyDeletemamamae,unashadadia kufumaniwa kwa mke wa jirani yako wakati wako nae anagongwa nje kila siku....subiri umalize hayo mashindano yako ya klabu bingwa uone utakavyopangiwa ratiba mfululizo ili umalize viporo vyako.
DeleteRatiba ni safi sana tena ni nafuu...ukilinganisha na mzunguka wa kwanza alicheza zaidi ya mechi sita mfululizo nyumbani
ReplyDeleteGame 3 anapoteza hapo. Walipoaza ligi walicheza nyumbani game 12 mfululizo wakafurahia sana na hayo ndiyo matokeo yake
ReplyDeleteUmetoka Bukavu dugu yangu,veve shubiri baokote ku nyavu Simba, et pasuint de Claire avaince
DeleteUonevu
ReplyDeleteNi kupeta tuuu!
ReplyDeletetunataka bingwa halali sio bingwa wa kubebwa hiyo ratiba safi sana
ReplyDeleteTaifa nako ni ugenini?
ReplyDeleteHizo mechi 5 zote anapoteza, najumlisha na ya Azam ambayo haipo hapo juu, jumla zinakuwa 6. Acha hizo zingine ambazo hazijawekwa hapo. Kombe Yanga mtalisikia tu na kuliona likiingia kwa jirani.
ReplyDeleteKashatolewa bikira ya pili Leo ni katika sportpesa
ReplyDeletewamekalia bang.
ReplyDelete