January 19, 2019



KIKOSI cha Yanga leo kitakuwa Uwanjani kumenyana na Stand United mchezo utakaochezwa Uwanja wa Kambarage huku rekodi zikiibeba Yanga mbele ya wapinzani hao.

Yanga ambao kwa sasa ni vinara kwenye Msimamo wakiwa na pointi 53 wanacheza leo ikiwa ni mchezo wao wa 20 kwenye Ligi Kuu Bara.

Rekodi zinaonyesha kwamba tangu Stand United ipande Ligi Kuu Bara msimu wa mwaka 2014/15 imekutana mara Yanga mara tisa na wana Jnagwani hao wamefanikiwa kuitungua Stand United mara nane,
Stand United wamefanikiwa kushinda mechi moja tu mbele ya Mabingwa hao wa historia a Ligi Kuu Bara, leo watakuwa kazini kuonyeshana ubabe mkoani Shinyanga.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic