February 6, 2019


UONGOZI wa klabu ya Chelsea tayari imeanza mchakato wa kujiandaa kumkosa mshambuliaji wao Eden Hazard msimu ujao.
Taarifa zimeeleza kuwa amekuwa akishawishiwa kujiunga na Real Madrid msimu huu ili atimize ndoto zake hivyo hataweza kusaini mkataba mpya
Meneja wa Chesea Maurizio Sarri amemwabia kuwa yeye ndiye mwenye maamuzi ya mwisho kuhusu mtazamo wake ndani ya Chelsea.
Uongozi wa ndani unatambua mipango ya mshambuliaji huyo hivyo inajipanga kuziba pengo lake endapo ataondoka.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic