February 18, 2019




BAADA ya mzunguko wa pili kuanza kwa baadhi ya timu huku nyingine zikiwa bado zinaendelea kumaliza viporo hizi hapa timu ambazo zinashika nafasi tano za chini kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara Tanzania na timu tatu zina pointi 29 :-

Namba 16 ni timu ya Tanzania Prisons imecheza michezo 26 imeshinda michezo sita sare 11 na kupoteza micchezo tisa na kujikusanyia pointi 29.

Namba 17 ipo kwa Kagera Sugar ambayo imecheza michezo 25 imeshinda michezo sita sare 11  na imeshinda michezo nane ikiwa na pointi 29.

Namba 18 inashikiliwa na Ndanda FC ambayo imecheza michezo 25 imeshinda michezo saba imetoa sare michezo nane imepoteza michezo 10 ikiwa na pointi 29.

Namba 19 ni Biashara United ambayo imecheza michezo 25 imeshinda michezo mitano, sare nane na imepoteza michezo 12 ikiwa na pointi 23.

Nafasi ya 20 ipo chini ya African Lyon ambayo imecheza michezo 26 imeshinda michezo minne, sare michezo tisa  imefungwa michezo 13 na imejikusanyia ponti 21.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic