February 18, 2019

3 COMMENTS:

  1. Mwakyembe anazungumza ukweli kabisa. Binafsi mimi ni Simba kuzimia kabisa nakiri hata nikisalitiwa na mpenzi wangu hainiletei uchungu moyoni kama ambavyo Simba ikipoteza mchezo ila ningeomba kwa wadau wa soka nchini kutafuta njia kuiwezesha Yanga kiuchumi. Yanga sawa na mfano wa makinikia ya dhahabu yalivyokuwa yakiliwa kiujanjaujanja na bila ya mchakato wa maana wa kuwakomeha wale wote wanaokwamisha mfumo wa uendeshaji wa uwazi ndani ya Yanga basi ile shauku ya wapenzi wa soka nchini ya kutaka kuona ushindani ulio na nguvu wa timu hizi mbili zinazobeba taswira ya soka la Tanzania kamwe haitatokea. Ningemshauri Muheshimiwa waziri Mwakyembe kuendelea kusimamia kwa karibu mchakato uliokwisha anzishwa wa mabadiliko ya kiutendaji wenye tija ndani ya Yanga wasiachiwe wahuni wakashinda.

    ReplyDelete
  2. HIVI KWELI YANGA INAONGOZWA BILA MWENYEKITI KWA MUDA WOTE HUU? MAMBO GANI HAYA? KWANINI UCHAGUZI UNAKUWA TATIZO?

    ReplyDelete
  3. Mheshimiwa waziri Ni muda muafaka wa kuangalia makato yanayokatwa na TFF kwenye timu zote. Kiukwel timu zinaumia sana. Mi naamini Baraza la Michezo (BMT) inapata rudhuku zake kutoka serikalini....Pesa ya TFF ndio inatakiwa kutoka kwenye mgao huu...wakati pesa ya bodi inatakiwa kutoka TFF....gharama za mchezo si hizi tunazotajiwa milioni 41 kwani Ni kitu gani special...wametoa ile malipo ya Mchina Sasa na haya yanatakiwa kutoka. TRA kwa gemu moja wanachukua hela mingi sana. Mil 385 wao wanachukua zaidi ya 50. Ni hatar sana. Turud kurekebisha haya

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic