FULL TIME
Yanga wanapambana kuwahimiza Simba wache lakini nao hawana haraka.
Simba wanamtoa Kagera na nafasi yake inachukuliwa na Niyonzima.
Ndani ya dakika 4 za nyongeza, Simba wanaonekana kupunguza kasi na Yanga sasa wanajaribu kushambulia kupata bao la kusawazisha.
Dakika za lala salama, Yanga wakumungiza Matheo Anthony badala ya Gadiel Michael na Simba wanamtoa Okwi na nafasi yake inachukuliwa na Muzamiru Yassin.
GOOOOOO
Pasi nzuri ya Bocco, Kagere anaunganisha kwa kichwa katika dakika ya 71 sasa Simba wanaongoza
Yanga wamemtoa nahodha Ibrahim Ajibu na nafasi yake imechukuliwa na Mohamed Banka
Mashambulizi yamekuwa ya zamu, Simba wakishambulia zaidi. Okwi amepiga mpira ukagonga mwamba na mara moja Makambo nusura afunge tena.
Kipindi cha pili kimeanza kwa Yanga kumtoa Amissi Tambwe na nafasi yake kuchukuliwa na Mrisho Ngassa, Simba wametoa Chama na nafasi yake inakwenda kwa Hassan Dilunga.
MAPUMZIKO:
Sasa ni mapumziko mechi ya watani, Yanga wakiwakaribisha Simba.
YANGA:
Mwanzo walianza kulinda, wakiweka wachezaji hadi tisa nyuma ya mpira na kuwapa Simba wakati mgumu sana.
Baada ya dakika ya 25, walianza kubadilika taratibu na kucheza kwa kasi huku Godi, beki wa kulia wa Yanga akiisumbua ngombe ya Simba hadi Zimbwe akalambwa kadi ya njano.
Makambo, mara mbili nusura aifungie Yanga na inaonekana Yanga wamekuwa na nidhamu kubwa katika ulinzi.
SIMBA:
Simba walianza vizuri kipindi cha kwanza wakitawala karibu dakika 20 zote, wakishambulia mfululizo huku Yanga wakimuacha Makambo pekee, mbele.
Hata hivyo, Simba hawakuwa makini kutumia nafasi nyingi walizopata.
Kuanzia dakika ya 28, walianza kuonekana kupoteza kasi waliyonayo na kuwaachia Yanga nafasi kucheza.

Kapokeeni Kila mchezaji milioni Nne Simba Juu.Yanga nje. Semeni yanga imedhulumiwa. Ubingwa wanani?
ReplyDeleteKwanza wamependelewa Ninja kazuia magoli na ki uhalisia hakupaswa kucheza wakati ana tuhuma za kupiga viwiko...Wiki nzima zahera amekuwa akiongea tu badala ya kufundisha.Ashike adabu yake!
ReplyDeleteWatatoa tamko baada ya matokeo haya kuhusu ninja,kwanza afadhali maana wangepata visingizio hawa jamaa.
ReplyDeleteKocha was Yanga alisema haihofii Simba na anajuwa wapi pa kuwakamata. Naona tambo zake safarii zimekata, nafikiri hana cha kulalamikia. Amefungwa kihalali, au bado analalamika!!!?
ReplyDeleteSafi sana, Yanga ya kocha Mkongomani ndie Katibu Mkuu, Mwenyekiti pamoja na benchi LA ufundi ambapo ndio Mahala lake. Sifahamu atakuwa na majukumu hayohayo ya Administrator au watamfunga mdomo, maana atajivunia kipi wakati tayari amepigwa na bado mikoani watapigwa tu! Simba nanyi kazeni Uzi msibabaishwe lazima mpambane mechi 7 zilizobaki mpate matokeo chanya
ReplyDeleteDah Kweli Njaa Haizoeleki Chukueni Mil 4 Hizo Simba Zahera Pole Kaongee Tena Jifunze Kukaa Kimya Kama Patrick Ana Dili Na Vitendo Siyo Maneno Maneno
ReplyDeleteZahera aroweke nywele kwa sabuni ili uwembe usimpe makali kwasababu penzi lako kwa yanga na namna ulivokuwa ukijitolea kwa kuwapa wachezaji chako cha mfukoni haitokusadia kitu kwa yanga jiweke tayari. Kesho utaambiwa huna kipya kama waliokutangulia
ReplyDelete“Ninafahamu Simba wazuri mbele pekee, lakini nyuma kwao wabovu, hivyo tangu tumefika hapa Morogoro nilikuwa na program ya siku mbili kwa wachezaji wangu.
ReplyDelete“Program hiyo ya siku mbili niliilelekeza kwa mabeki wangu, Yondani, Dante, Ninja na mabeki wangu wa pembeni Boxer na Gadiel na nilianza na mabeki kwa lengo la kuzuia mashambulizi na kuokoa hatari zote golini.
“Nashukuru katika hilo nilifanikiwa kwa kiwango kikubwa, w a c h e z a j i wangu walishika maelekezo yangu niliyokuwa ninawapa, hivyo sina hofu mashabiki wa Yanga wajiandae kushangilia ushindi,”.
HAYO YALIKUWA NI MANENO YA KOCHA MWENYE NYADHIFA NYINGI NDANI YA KLABU YA YANGA. KOCHA AMBAYE ALIKARIRIWA AKITAKA KOCHA KOCHA WA SIMBA ATIMULIWE KWA KUKUBALI MAGOLI 10 NDANI YA MECHI 2.
SASA NAMUOMBA AONGEE TENA MANENO YAKE YA HAPO JUU. NINA IMANI HALI NI PIGO KWAKE TENA KUBWA SANA TU, NA NINA UHAKIKA HATA KUJA KUISAHAU SIMBA MAISHANI MWAKE. KWA MAANA NINA UHAKIKA HANA NAFASI TENA YA KULIPA KISASI. KWASABABU NINA UHAKIKA HAWEZI KUFIKA TENA MSIMU UJAO AMBAPO SIMBA NA YANGA ZITAKUTANA TENA. BURIANI ZAHERA KWENYE MBIO ZA UBINGWA.
Nakumbuka siku 2 kabla ya mechi hii ya watani, nilitamka kuwa, "walianza kupoteza Azam mechi ya kwanza mbele ya Mtibwa, wakafuatia Yanga kupoteza mechi ya kwanza mbele ya Stand United. Majuzi wakapoteza tena Azam mechi ya pili mbele ya Prison, hivyo hii ni zamu ya Yanga kupoteza mechi ya pili mbele ya Simba" NA IMEKUWA. Mmeyataka wenyewe, mna maneno sana, yaani si Kocha, si Ten, si Wachezaji, huku kwa mashabiki wao ndo ucseme! MMEPATA MNACHOKISTAHILI, WALA HAMJAPUNJWA.
ReplyDelete