February 15, 2019





Dakika 90 zinakamilika, Mbao 1-0 Ruvu Shooting
Uwanja wa CCM Kirumba
Wanabaki na pointi tatu nyumbani.
Raphael Siame anaanza kufunga bao kwa mbao dakika ya 33.

Mechi ya nyingine zilizpchezwa leo ni kama ifuatavyo:-

Mbeya City 1-1 Stand United, Uwanja wa Sokoine.

Ndanda 1-0 Alliance, Nangwanda Sijaona.

Zimeongezwa dakika mbili kabla ya mapumziko.

Kipindi cha pili kinaanza sasa.
Dakika tatu zinaongezwa 

90+3 Ruvu wanaanza mashambulizi mpira unaishia kwa Metacha.

90+2 Mbao wanaingia eneo la hatari, Bernad anapiga mpira wa kishakaji mlinda mlango anausindikiza unagonga mwamba, kona inapigwa na mchezaji wa Mbao.
90+2 Ruvu wanapeleka shambulizi kwa Metacha
90+1 Metacha anaanzisha mira kwenda kwa Ruvu.

Dakika ya 90 Ruvu wanapata kona inayopigwa na Baraka Mtui haizai matunda
Dakika ya 89 Mbao wanashambulia eneo la Ruvu,wanapoteza

Dakika ya 88 Ruvu wanaanisha mashambulizi yanaishi kwa Said JR anabanwa na Ruvu wanaondoa hatari
Dakika ya 88 Mbao wanapoteza nafasi

Dakika ya 87 Mnata anaokoa hatari kwenye lango na kuanzisha mashambulizi kwenda Ruvu.


Dakika ya 86 Alinanusuru anaingia anatoka Kanduru wa Ruvu

Dakika ya 86 Rajesh Kotecha anaingia anatoka Raphael Siame

Dakika ya 85 Metacha anaanzisha shambulizi kwenda Ruvu

Dakika ya 83 Said JR ananawa mpira anaitwa Njohole wa Mbao anawapa onyo 

Dakika ya 81 Metacha anaanzisha mashambulizi kwenda kwa Ruvu, wanatoa nje uarushwa kwenda Ruvuwanapoteza umiliki wa mpira, Isa na Erik, Emanuel Maratin kwake Aman anaachia jalo linatolewa na Mwassa anarudia George nahodha Mwasa anaiondosha anaitoa Njohole

Dakika ya 80 Said Jr anabanwa anapoteza mpira, unarushwa kwenda eneo la Ruvu, Mbao wanapoteza unakuwa wa kurushwa kwenda Mbao.

Dakika ya 80 Metacha anadondoka chini akionyesha kwamba ameumia.

Dakika ya 79 Metacha anaanisha mashambuliz kwenda Ruvu 

Dakika ya 76 Lukindo anacheza rafu na anapewa kadi ya njano 

Dakika ya 72 Lukindo anafanya jaribio linaloishia mikononi mwa Abdalah.

Dakika ya 71 mshambuliaji wa Mbao anapaisha mpira mawinguni akiwa eneo la hatari.

Dakika ya 70 Said JR anapiga shambulizi jepesi

Dakika ya 69 Kanduru anafanya shambuliz linapaa mawinguni.

Dakika ya 67 Said JR anafanya shambulizi makini ila lisilo na macho linakwenda nje.

Dakika ya 66 Ruvu wanapeleka mashambuliz kwa Metacha.

Dakika ya 65 Mbao wanapaisha mawinguni mpira eneo la hatari.

Dakika ya 63 Ally Kombo anaonyeshwa kadi ya njano akiwa amebebwa kwenye machela.

Dakika 60 Issa Kandoro anaachia muwa mkali unagonga mwamba.


Daakika ya 60 Zuber dabi anachezewa rafu na Ibrahim Njohole.

Dakika ya 58 Gervas anatoka nje anaingia Karim

Dakika ya 57 Mbao wanapeleka mashambulizi kupitia kwa JR

Dakika ya 54 Ruvu wanakosa bao wakiwa eneo la hatari.

Dakika ya 54 Ally Mussa wa Mbao Shooting yupo chini.

Dakika ya 52 mchezaji wa Mbao anagaagaa chini, anapewa huduma ya kwanza na kurejea kwenye mchezo

Dakika ya 52 Ramos Charlse anapeleka mashambulizi kwa Ruvu.

Dakika ya 51 Mussa anatoka anaingia Baraka Said wa Ruvu Shooting.

Dakika ya 50 Ruvu Shooting wanapoteza nafasi ya wazie eneo la Metacha.

Dakika ya 49 Siame anapishana na mpira eneo la hatari.

Dakika ya 48 Ruvu wanafanya shambulizi Metacha anaiokoa.

Dakika ya 47 Said JR anapaisha kichwa mawinguni akiwa eneo la hatari.

Dakika ya 45 Mbao wanaanza kwenye umiliki mpira unarudishwa kwenye ngome ya Ruvu.

Dakika ya 45+2 Mbao wanaotea kwa Ruvu Shooting

Dakika ya 45+1 Mbao wanaanzisha mashambulizi kwenda Ruvu kupitia kwa Ramos Charlse
Dakika ya 45 Shaban Msala wa Mbao anacheza faulo 
Dakika ya 45 Amos Charlse wa Mbao anarusha

Dakika ya 44 Robert anamgonga mchezaji wa Ruvu Shooting kwenye bega inapigwa faulo kwenda kwa Mbao.

Dakika ya 43 Issa Kanduru anacheza rafu kwa mchezaji wa Mbao FC. Dakika ya 42 Ruvu wanapata faulo inapigwa na Emanuel Martin inatolewa nje.

Dakika ya 42 Ruvu wanafanya shambuliz linazuiliwa.

Dakika ya 41 Siame Rashid anafanya jaribio jepesi

Dakika ya 40 Raphael Siame anasaidia wa JR , Siame anapokwa na vijana wa Ruvu. Dakika ya 39 Mbao wanapata faulo baada ya kuchezewa rafu, na kadi ya njano anapewa Issa Kanduru dakika ya 40

Dakika ya 35 Mbao wanafanya shambulizi linaokolewa na mabeki.

Dakika ya 33 Patrick Robert anatoa pasi ya bao linalopachikwa na Raphael Siame

Dakika ya 30 Vincent anaachia shuti kali, Rashid anaita nje, wanapiga kona inatolewa nje inapigwa tena inatolewa nje inapigwa inakuwa goal kikck.

Dakika ya 29 Mbao wanarusha kwenda eneo la Ruvu, Hmahama anamtafuta Said JR, Eric Junior, Kombo, Charlse, Mulilo Vincent, Robert anaacha shuti Abdallaha Rashid anaiokoa

Dakika ya 28 Mwassa anachezewa rafu na mchezaji Emmanuel Martin wa Ruvu Shooting

Dakika ya 27 mlinda mlango wa Ruvu anaanzisha mashambulizi kwenda kwa Mbao, Mussa Said anafanya jaribio ambalo linaishia mikononi mwa Metacha.

Dakika ya 26 William Patrick anashambulia eneo la Mbao.

Dakika ya 25 Eric Mulilo anachezewa ndivyo sivyo na mchezaji wa Ruvu, Ibrahim Njohole anapiga pasi nyepesi inayodakwa na mlinda mlango wa Ruvu Ramadhani.

Dakika ya 24, David Mwasa anaanzisha mashambulizi kwenda Ruvu.

Dakika ya 23 Issa Kadulu anachezewa faulo bila kukusudiwa na Eric Mulilo wa Mbao FC.

Dakika ya 22 Mbao wanabadilisha upande kwa kuanzia kwa Vincent Filipo.

Dakika ya 21 Manyama wa Ruvu anapiga faulo ya kupenyeza Metacha anaidaka.

Dakika ya 20 Ruvu Shooting wanatengeneza offside.

Dakika ya 19 Mussa Said wa Ruvu Shooting anacheza rafu kwa mchezaji wa Mbao.

Dakika ya 18 Mbao wanapata faulo, wanaanza inadhbitiwa na Ruvu.

Dakika ya 17 Edward Manyama anaingia karibu na eneo la hatari, wanababatiza mpira inakuwa ni kona, inapigwa na inatolewa nje na Mnanata baada ya kuchezewa rafu.

Dakika ya 16 Ruvu Shooting wanapata kona inayopigwa na George, Mbao wanaokoa na kuupoteza mpira.
 kwa Ruvu.

Dakika ya 16 Zuberi Daby nahodha wa Ruvu Shooting anapata maumivu kwenye mguu.

Dakika ya 15 Ruvu Shooting wanarusha kwenda kwa Mbao FC mlinda mlango anaanzisha mashambulizi.

Dakika ya 14 Shaban Msana wa Ruvu Shooting anazuiwa na mabeki wa Mbao FC.
Dakika ya 13 Mbao wanarusha kwenda Ruvu Shooting.
Dakika ya 12 mpira unarushwa kwenda lango la la Mbao FC.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic