MAJALIWA: IKIWEZEKANA TUCHUKUE KOMBE LA DUNIA - VIDEO
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa asema serikali imejiandaa kiasi cha kutosha kwaajili ya Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Vijana Afcon U17 zitakazofanyika nchini Tanzania mwezi Aprili mwaka huu.
Majaliwa alikuwa akijibu swali la mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto wakati wa kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu.
0 COMMENTS:
Post a Comment