Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania kuhakikisha linaendeleza maandalizi thabiti kwa ajili ya michuano ya AFCON (U17) inayotarajiwa kuanza hivi karibuni.
UNAWEZA UKAMSIKILIZA ZAIDI HAPA
0 COMMENTS:
Post a Comment