VIDEO: “MAKONDA NA STANDARD GAUGE / AKILI FUPI TU / MAGUFULI MHM” – DUDU BAYA
Msanii wa Bongo Fleva, Dudu Baya, amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam. Paul Makonda, kwa kuandaa ziara iiliyowashirikisha wasanii wa aina zote ya kutembelea na kukagua Mradi wa reli ya Mwendokasi ya Standard Gauge ili kujionea kazi ambazo zinafanywa na serikali yao chini ya Rais Dkt John Magufuli.
Dudu Baya amesema watu wanaoponda jitihada za serikali wana akili fupi kwani ndani ya muda mfupi Rais Magufuli ameweza kuiletea nchi maendeleo yasiyopimika.
Baba la wa jinga Tanzania Tundu Lisu, watanzania wanajibana kila kitu kununua ndege kwa ajili ya mikakati ya kuimarisha utalii yeye anatumia nguvu zake zote na hao wanaomfadhili kuzunguka kila kona ya Dunia kuwaambia walimwengu msije Tanzania hakuna amani. Serikali inaua watu wake hovyo kila siku hapafai kabisa Tanzania msije kuekeza hakuna uhuru Tanzania kama vile maisha ni Maisha ya Lisu pekee yake Tanzania. Hata wakati Siria wapo kwenye katikati ya dimbwi la vita na familia kadhaa zikipoteza karibu ukoo mzima hatujawahi kumuona msiria akihamasisha watu waitenge Siria. Sisi watanzania tunamatatizo gani lakini?
ReplyDelete