MCHEZAJI wa zamani wa timu ya Taia ya Ufarasa, Bixente Lizarazu amesema mshambuliaji Kylian Mbappe anaweza kuibeba timu yake ya PSG's kwenye mashambulizi kwa Manchester United leo.
PSG itacheza na United mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya 16 bila washambuliaji wao muhimu Edinson Cavani na Neymar.
Mbappe ameachwa PSG's akiwa ni mshambuliaji pekee, Lizarazu amesema: " Majukumu ya Mbappé's bila ya uwepo wa Neymer na Cavan ? Inaonyesha hakuna tatizo kwakwe. Kumbuka kwenye kombe la dunia aliweza akiwa kwenye mazingira hayo. Sina mashaka kuhusu hilo anauwezo wa kulisimamia hilo.
"Nadhani atakuwa na kazi kubwa ya kufanya.Tatizo liytkuwa kwenye pasi tu basi, je atapata pasi kwenye mchezo huo? (Julian) Draxler au (Angel) Di Maria, wanatakiwa kumpa asi za uhakika. Kukosekana kwa Neymer ni pigo ila ana takiwa kutimiza majuku yake," amesema.
0 COMMENTS:
Post a Comment