February 11, 2019



LIGI kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa timu hizi 12 kutimua vumbi Uwanjani:

Lipuli FC itamenyana na Azam FC Uwanja wa Samora, Iringa.

Mwadui FC itamenyana na Mtibwa Sugar Uwanja wa Mwadui Compex, Shinyanga

African Lyon wataikaribisha Ruvu Shooting, Uwanja wa Uhuru.

Mbao FC itamenyana na Coastal Union ya Tanga, Uwanja wa Kirumba.

Tanzania Prisons watamenyana na Stand United Uwanja wa Sokoine.

Ndanda FC watamenyana na Kagera Sugar Uwanja wa Nangwanda Sijaona.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic