LIGI Kuu Bara leo inaendelea ambapo timu nane zitakuwa Uwanjani kumenyana kutafuta poiti tatu muhimu kwenye viwanja vinne tofauti kama hivi:-
Mbeya City leo itamenyana na Stand United Uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.
Ndanda FC leo watamenyana na Alliance Uwanja wa Nangwanda sijaona Mtwara.
Mbao FC itawakaribisha Ruvu Shooting Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
KMC itashuka uwanja wa Uhuru kumenyana na Kagera Sugar, Dar.
0 COMMENTS:
Post a Comment