VIDEO: KOCHA SIMBA AELEZA MWANZO MWISHO ALIVYOWAWEKEA 'TIMING' YANGA LEO
Makocha wa Timu zote mbili ambao ni watani wa jadi, Simba na Yanga wamesema wamejiandaa vyema kukabiliana katika mechi yao ya jumamosi ya watani wa jadi Ligi Kuu Tanzania Bara itakayopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Akizungumza baada ya mazoezi ya Simba, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Patrick Aussems amesema wanaenda kuchuana na Yanga kama wanavyocheza na timu nyingine huku wakiwa na mikakati ya kuibuka na pointi tatu.
Simba na Yanga zinakutana leo February 16 mwaka huu katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment